Monday, 5 August 2013

NEW SONG: JACO BEATS - KILAZA


FEZA KESSY ARUDISHWA KIKAANGONI TENA,TAZAMA VIDEO 2 HAPA BIG AKIWA NOMINATE:PIGA KURA HAPA ILI FEZA AENDELEE KUTWETA:
 
PIGA KURA HAPA MARA NYINGI IWEZEKANAVYO ILI FEZA KESSY AWEZE KUBAKI TENA
http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/

BIG BROTHER AFRICA THE CHASE BEEVERYY SAVED BIMP & PUT .........

Feature: Will Beverly Save Bimp and put up Dillish?


Beverly as HoH still has a daunting Task ahead of her, the dreaded Save and Replace.

Just a few minutes before she walks into the Diary Room to do the dirty, let's recap on the morning's Nominations. Feza got four Nominations, Bimp got three and Cleo had three, which means these are the ones whose heads are on the chopping block.

So, what will Beverly do? This is the question we asked Big Brother Africa fans and it looks like everyone thinks Dillish is in danger. If Beverly's initial Nominations are anything to go by, then Dillish will certainly be the unlucky soul tonight. Beverly Nominated Cleo and Dillish this morning so Cleo is already up for possible Eviction, which means there's no need for Beverly to worry about her.

Well, the prediction is that the Naija babe will Save her former bed-mate Bimp. Judging from the Nominated Housemates, Bimp is the one that she is closest to. Could she surprise everyone and Save Feza though? Maybe just because the Tanzanian Chasemate is still reeling over the pain of losing her man, Oneal to Evictions last night? What are the chances though?

WHO IS HOTTER?? BEVERLY VS ANGELO'S GIRLFRIEND CANDICE

tweet za Angelo n Candice b4
hajaenda BBA 
Angelo n Candice
CONTINUE READING

OMMY DIMPOZ APIMA HIV NA KUSEMA "SINUNUI WALA KUUZA MECHI TENA"

CONTINUE READING

DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA

“Mimi sina stress na game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na Mungu akupe matumaini,” ameiambia Bongo5.

Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.

“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”
Source:Bongo5.

THE NEW RAY C "AM STRONG LADY!! KILA NIPEWAPO MITIHANI MGUMU WA MAISHA NAPIGANA MPAKA NAKUWA MSHINDI"

Ray ameandika haya
"The New Ray C, Am a Strong Lady!!!!kila Nipewapo Mtihani mgumu wa Maisha napigana mpka nakuwa mshindi."

JAMBAZI LANUSURIKA KIFO KIMARA TEMBONI JIJINI DAR, LACHAPIKA KI SAWA SAWA:


Jambazi akiwa hoi katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kali.
KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kimara jijini Dar es Salaam. Kijana huyo akiwa na wenzake wawili waliokuwa na silaha za moto tayari kwa kwenda kufanya uhalifu lakini kabla mpango wao haujakamilika polisi waliingilia kati. Haikuwa kazi rahisi kuweza kumkamata jambazi huyo kutokana na majibizano ya risasi kati yao na polisi. Hata hivyo mmoja wao (pichani juu) alitiwa nguvuni wakati wenzake wawili wakitokomea.
(Picha na Khatimu Naheka / GPL

@NEW MAISHA CLUB DODOMA 3 SEASON RELAUNCH - 08/08/2013


SELENA AANIKA UKWELI WA JUSTIN BIEBER

Ripoti kwamba Selena Gomez na Justin Bieber wanarudiana na kuachana mara kwa mara zimepata ufumbuzi kutoka kwa kimwana huyo.

"Nimemfahamu Bieber kwa muda mrefu na tunafurahiana kampani ya kila mmoja wetu mara kwa mara " alisema Selena aliliambia Associated Press aliongezea kuwa " mimi niko single na ninafurahia hilo"

HAPANA CHEZEA RIHANNA WEWE:


Nyota wa pop, Rihanna alikuwa na muonekano wa kishabiki aliyepagawa wakati akifurahia muziki wa ufukweni na rafiki zake nchini kwao.

Huku akiwa amezungukwa na watu kibao, Rihanna alikuwa amevaa bikini tu alikuwa akinengua na shoga zake hadi chini

JAJI FRANCIS MUTUNGI ATEULIWA KUWA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA...TENDWA KWA HERI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
                       CONTINUE READING

HAWA NDIO MASTAA 6 WA BONGO MOVIE WALIOMWAGIWA SIFA KWA KUJIHESHIMU:

CONTINUE READING

UZINDUZI WA TAWI JIPYA LA BURUDANI MKOANI MBEYA -@ NEW MAISHA CLUB


Hapa DVJ OMMY CRAYZE,HYPERMAN HK NA DJ HUNTER THE SNYPER Tar 8-8-2013 katika sikukuu ya nane nane tunazindua rasmi tawi jipya la burudani mkoa mbeya wakali mbalimbali wa burudani watakuwepo katika tawi jipya la new maisha club mbeya.
CONTINUE READING

WEMA SEPETU NA IRENE UWOYA VITA NZITO: ALIANZA WEMA, UWOYA AJIBU MASHAMBULIZI, SOMA HAPA


Na Erick Evarist
VITA mpya imeibuka ikiwahusisha warembo wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Irene Pancras Uwoya kufuatia kuanzisha vipindi vya runinga kwa mpigo.

CONTINUE READING:

DAH! FUTARI!!, JK AJIACHIA NA WASANII IKULU, AWAPA TANO,KIVAZI CHA SHILOLE MMMMH:

Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii Zuwena Mohamed a.k.a. Shilole.
 Gladness Mallya na Hamida Hassan
CONTINUE READING:

NGUO ZA SIKUKUU ZAZUA BALAA:JIMAMA AMBALO NI MKE WA MTU LIMEKULA KICHAPO KITAKATIFU:


Nisamehe jamani! Mary au Mama Gilo akiomba msamaha baada ya kula kichapo cha kutosha.
Na Hamida Hassan
CONTINUE READING

MUME AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUMNYONGA MKEWE


MWANAMUME mmoja amemnyonga hadi kufa mke wake na yeye akauawa na wananchi wenye hasira, katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Tukio hilo lililothibitishwa na polisi wilayani hapa, lilitokea usiku wa kuamkia juzi katika Kijiji cha Kisangwa Kata ya Mcharo, kwenye sherehe ya ufunguzi wa nyumba ya ndugu yao.
CONTINUE READING:

Interview With Jay-Z At The Breakfast Club Power 105.1 [Part 1]STORI KUBWA ZA MAGAZETI YA UDAKU LEO AUGUST 5 2013:

.

.
.

.
.

.
.

.

NI MARUFUKU BODABODA KUBEBA MAITI..!!

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limepiga marufuku madereva wa pikipiki maarufu kama yeboyebo kubeba maiti.
CONTINUE READING

"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE". ..OMBI LA MDAU


Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo. CONTINUE READING