Monday, 16 September 2013

BAADA YA MANENO MANENO KUHUSU LUCCI NA JOKATE, LUCCI AMUA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU:PETE YA UCHUMBA YAHUSIKA:

 

lucci2


Hivi sasa producer wa wimbo wa kaka dada ameamua kumvisha pete mpenzi wake ambaye amekuwa mchumba wake rasmi.Cheki picha hapa na Lucci akiongea na millardayo.com alisema,
“Baada ya mambo project ya Kaka Dada kukamilika nimeona ni muda muafaka kabisa kumvisha pete mpenzi wangu Lisa Semgeliwa au marafiki zake huwa wanamuita Lizzyblazzer. Unajua like seriously tumekuwa kwenye dating kwa muda zaidi ya miaka 2. Muda huo unatosha kabisa naamini ni vizuri kuingia kwenye hatua nyingine ya mahusiano yetu” . lucci
Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa  Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni” 8ac63dbd6e04b0a8b30f64d571c80e8c
Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter… 2 3 lisa

No comments: