http://3.bp.blogspot.com/-X5UFmDH0obY/UOaVkdBqPLI/AAAAAAAAScY/YHkKdRHVfnY/s640/WINO.bmp

G&G INTERNET CAFE DODOMA TUNAPIGA PICHA ZA PASSPORT SIZE EXPRESS NA PIA TUNATOA HUDUMA ZA SECRETARY SERVICE KWA BEI NAFUU SANA : TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0716909567 NA 0766909567 AU TUMA BARUA PEPE bossngasa@gmail.com.:THE BEST BLOG IN DODOMA:R.I.P ALBERT MAGWEAR

Wednesday, 19 June 2013

HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA KATIKA MAPENZI:

clip_image002

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa. Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama KITABU, hutofautiana kutoka mtu na mtu. Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.

CHECK OUT NEW VIDEO WISE ONE FT JACO BEATS - MALAIKA (Official HD Video)

https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-snc6/p206x206/208438_397946253634946_254579273_n.jpg

https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/p206x206/482437_397946533634918_320021593_n.jpg
KICHUPA KIMEFANYIKIA DODOMA: UDOM, DODOMA HOTEL & TOWN CENTER:TAZAMA KWA MAKINI HII VIDEO NA SIKILIZA MASHAIRI YAKE UTAGUNDUA KITU TOFAUTI HALAFU UTOE COMMENT YAKO:

MSIKILIZE LADY JD AKITOA SHUKRANI KWA MASHABIKI WAKE: KWA MIKOANI KAENI TAYARI:


MSIKILIZE HAPO AKIONGEA MWENYEWE:

LIL WAYNE APATA KASHIKASHI BAADA YA KUKANYAGA BENDERA YA MAREKANI


Kukanyaga bendera ya nchi yako ni wazi unaitusi nchi yako au ni kukosa heshima hayo ni maneno wanaojiuliza wamarekani walio wengi kutokana na kitendo alichokifanya mwanamuziki Lil Wayne kuikanyaga bendera ya nchi yake kwa makusudi kama vile tambala la deki.

Tukio hilo limetokea hivyo karibuni alipokuwa anafanya shoot muimbaji huyo alianza kurap mbele ya bendera kubwa ya Marekani ambayo baada ya muda ilitupwa chini na muimbaji huyo na kuikanyaga huku akiendelea kuimba.


Baada ya kushambuliwa na kushangazwa na mashabiki wake Lil Wayne ametoa ufafanuzi kuhusu tukio hilo na kudai kuwa hakuikanyaga kwa maksudi kwani kipande kilichokuwepo kwenye nyimbo hilo kilionyesha kuimba kwa kutumia bendera hiyo lakini kuikanyaga ilikuwa ni bahati mbaya kwani hakuiona

LUNDENGA AMTIMUA MISS JUKWAANI BAADA YA KUVAA NUSU UCHI MBELE YA MBUNGE

Mrembo aliyetimuliwa, Saphina Chumba akiwa jukwaani.

MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa akiwania kuvaa taji la mkoa huo
 
.
Hashimu Lundenga.
Kisa cha mrembo huyo aliyevalia namba 5 kutimuliwa ni kukiuka maadili na kanuni za mashindano hayo kwa kuvaa nusu utupu mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkulo na mbele ya Kamati nzima ya Miss Tanzania.
Baada ya kuona jinsi alivyovaa, Lundenga na kamati yake walikubaliana kumtimua mshiriki huyo kwa kumwita Jaji Mkuu wa shindano, Alex Niktasi na kumtaka amuondoe haraka.
Mbali na Chumba, pia jaji alimtimu mrembo mwingine aliyevalia namba 8, Neema Joel (20) kutokana na kushiriki shindano  hilo mara mbili mwaka huu, inadaiwa mara ya kwanza alishiriki mkoani Arusha.
Lundenga alipohojiwa na mwandishi wetu alisema kamati yake inataka kuendeleza nidhamu tangu ngazi ya chini, hivyo hawawezi kuruhusu utovu wa nidhamu.

 

KHA!!!!!! MWANAMKE AVAMIWA NA CHATU NA KISHA KUMEZWA MZIMAMZIMA. TAZAMA PICHA HAPA


Linda Laina Nyatoro,mwanamke kutoka nchini south africa alifikwa na mauti baada ya chatu kuingia ndani ya nyumba anayoishi na kumshambulia kisa kummeza kabisa. tazama picha za chatu alivyokutwa tayari kesha mmeza

AIBU YAKE:HUYU NDIYE MREMBO ALIYECHEZEA KICHAPO BAADA YA KUFANYA UKAHABA JIRANI NA MSIKITI:



KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’ akidaiwa kufanya ukahaba jirani na msikiti, Risasi Mchanganyiko lina kisa kamili.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu majira ya usiku jirani na msikiti huo uliopo nyuma ya Corner Bar, Kijitonyama jijini Dar ambapo mwanamke huyo na wenzake walikamatwa na baadhi ya vijana waumini wa Kiislamu waliokerwa na kitendo cha wao kutoa huduma haramu ya ngono maeneo hayo.

WENZAKE WATOKA NDUKI
Baada ya wenzake kufanikiwa kutoka nduki mithili ya mwanariadha Usai Bolt wa Jamaika, mwanamke huyo alishuhudiwa akila bakora kisha akapelekwa katika Kituo cha Polisi Kijitonyama, Dar akaunganishwa na wengine waliokamatwa usiku huo.
Ilielezwa kuwa wanawake hao wamekuwa wakiuza miili kwa wanaume karibu na msikiti huo na pembezoni mwa baa hiyo.
Ilisemekana kuwa kumekuwa na kawaida ya wanawake hao kusimama maeneo ya nyumba hiyo ya ibada na kufanya biashara hiyo huku wakichafua mazingira kwa kutupa ovyo kondomu na kujisaidia maeneo hayo.

NGUO YA NDANI YAMVUKA
Wakati mwanamke huyo akicharazwa bakora, nguo ya ndani ilimvuka huku akipiga kelele kuwa hatarudia kufanya hivyo na kama akirudia basi akatwe kichwa.

NI KERO
Kutokana na kukerwa na vitendo hivyo, vijana hao wanaofanya ibada katika msikiti huo, waliamua  kuwatafuta vijana wa ulinzi shirikishi na kuwapa kazi hiyo ya kuwakamata na kuwacharaza bakora kisha kuwapeleka katika kituo hicho cha polisi.
“Tumeamua kuwakamata na kuwacharaza bakora, hawana ustaarabu wala busara hawa, wanakojoa na kutupa kondomu  hovyo, “ alisikika mmoja wa vijana hao.
Mmoja wa vijana hao aliyekuwa akisimamia kwa karibu zoezi hilo, aliwaambia mapaparazi wetu kuwa wameamua kufanya hivyo na litakuwa zoezi endelevu kutokana na wanawake hao kutokuwa wasikivu kwani kila wanapoambiwa juu ya kukaa mbali na nyumba hiyo ya ibada hawasikii.

KUNA KISA NA MKASA
Alisema kuwa siku moja wanawake hao walimtoa udhu muumini mmoja ambaye alikuwa akienda kuswali alfajiri baada ya kumshika na kusababisha akose kuhudhuria swala siku hiyo.

BOFYA HAPA KUSIKIA MAHOJIANO
Gazeti hili liliambatana na vijana hao hadi polisi ambapo lilipata nafasi ya kuzungumza na mwanamke huyo.
Risasi Mchanganyiko: Mama kwani wewe unaitwa nani na kwa nini unajiuza eneo lile?
Mwanamke: Naitwa Zulfa, unajua maisha ni magumu hata ninyi mnajua. Ni kweli mimi ni mke wa mtu lakini mume wangu hana kazi hivyo kuliko kulaza watoto njaa naogopa watakufa.
Risasi Mchanganyiko: Mume na watoto umewaacha wapi?
Zulfa: Mume naye anabangaiza mtaani, watoto wangu wawili nimewaacha nyumbani Manzese wamelala.
Risasi Mchanganyiko: Kwa nini usitafute njia nyingine ya kutafuta kipato kuliko kujiuza kwa sababu unahatarisha maisha na haya magonjwa ya siku hizi?
Zulfa: (kwa ukali), acheni maswali yenu kama mna hela nipeni nitaacha.

AINGIZWA LOKAPU
Hata hivyo, wakati mahojiano yanaendelea, mmoja wa askari waliokuwa zamu aliamuru mwanamke huyo aingizwe lokapu kusubiri kesho yake aunganishwe na wenzake kisha wapelekwe mahakamani.

NI SIKIO LA KUFA
Habari zilizolifikia gazeti ni kwamba baada ya kufikishwa mahakamani na kukutwa na kosa la uzururaji, wakahukumiwa kifungo cha miezi sita jela au faini ya shilingi elfu hamsini ambapo walilipa kiasi hicho na bado wanaendelea na biashara hiyo maeneo hayo.

DAR INATISHA
Biashara haramu ya ngono imekuwa kwa kasi ya ajabu jijini Dar na utafiti wa mwaka juzi ulionesha kuwa kulikuwa na wanawake wanaojiuza zaidi 7,500 lakini kwa sasa ni maradufu, chanzo kikielezwa ni ukosefu wa ajira.

PINDA "BOMU LILILOLIPUKA ARUSHA LIMETENGENEZWA CHINA"

Arusha. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuliwa katika mkutano wa Chadema ni la kijeshi na limetengenezwa China.
Akizungumza mjini hapa jana, Pinda alisema uchunguzi unaendelea kujua bomu hilo limefikaje kwenye mikono ya waliohusika kwani uzoefu unaonyesha kuwa hutumiwa na wanajeshi kujihami wakiwa katika makabiliano na maadui vitani.
“Ingawa uchunguzi unaendelea, lakini inawezekana bomu hilo limeingizwa nchini na wahalifu wasiojulikana kupitia njia za panya za mipakani,” alisema Pinda.
Serikali kusimamia mazishi
Katika hatua nyingine, Serikali imetangaza kwamba itasimamia mazishi ya watu waliopoteza maisha kutokana na shambulio hilo.
Hatua hiyo imekuja huku Chadema nacho kikiwa kimetangaza kushughulikia mazishi ya wananchi hao kwa kuwa walifariki katika shambulio lililotokea kwenye mkutano wao.
Waziri Mkuu, jana alimwagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo kusimamia shughuli zote za misiba hiyo, agizo ambalo wadadisi wa masuala ya kisiasa wanasema ni kama kuipokonya Chadema dhamana ya kusimamia shughuli za mazishi hayo.
Juzi jioni, Mbowe aliwaambia wananchi na wafuasi wa Chadema katika Viwanja vya Soweto kuwa chama chake kitagharimia na kusimamia shughuli zote za kuaga, kusafirisha pamoja na mazishi ya waliopoteza maisha katika tukio hilo.
Chama hicho tayari kilishafunga mahema katika Viwanja vya Soweto kwa ajili ya shughuli hiyo, lakini uongozi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), kilizuia kuendelea kwa shughuli hiyo hali iliyosababisha machafuko.

HIZI HAPA KURARASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA UDAKU JUNE 19:

.

.
.

.

KUWA WA KWANZA KUCHEK VIDEO YA WIMBO MPYA WA KWANZA WA FEZA KESSY:

Ndio kwanza alikua ametoa single yake ya kwanza alafu siku chache baadae akaitwa kuingia BBA 2013 wakati hata video yake ilikua haijatoka, sasa baada ya kutoka… nakualika kuitazama hapa

VURUGU ZA ARUSHA: CHADEMA YAGOMA KUTOA USHAHIDI POLISI, LEMA AJIFICHA KWA MCHOMA NYAMA ....WAANDISHI WAAMBULIA KICHAPO


Wabunge wanne wa Chadema, Said Arfi (Mpanda Mjini), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Mustapha Akunaay (Mbulu) na Joyce Mukya (Viti Maalumu) wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mkusanyiko usio halali kwenye Uwanja wa Soweto jana.

Mkuu wa Operesheni wa Polisi, Kamishna Paul Chagonja alisema jana kwamba pamoja na wabunge hao pia wamewakamata watu wapatao 60 kutokana na vurugu zilizozuka jana baada ya Polisi kuwatawanya kwenye uwanja huo waliokuwa wamekusanyika kuomboleza vifo vya watu watatu; Judith Moshi, Ramadhan Juma na Amir Ally waliofariki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea kwenye uwanja huohuo, Jumamosi iliyopita.

Mbali ya viongozi hao, alisema wanawasaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

“Tunawasaka wabunge ili tuwajumuishe na watu hawa kwa kosa la kuhusika na mkusanyiko usiokuwa halali. Hadi sasa tumefanikiwa kulinasa gari la Mbowe,” alisema Chagonja.

Pia kamatakamata hiyo imemkumba Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Ashraf Bakari. Polisi walilazimika kutumia nguvu kuwatawanya waombolezaji hao.

Awali, Kamishna Chagonja alisema jana asubuhi kuwa wamelazimika kuzuia viwanja hivyo kutumika baada ya wamiliki wake, AICC kuzuia shughuli za Chadema kwenye eneo lao na kwamba upelelezi bado unaendelea katika viwanja hivyo.

Kamishna Chagonja aliwaonyesha waandishi wa habari barua aliyosema imeandikwa na uongozi wa AICC kuzua Chadema kuendelea kuutumia Uwanja wa Soweto.

Mabomu yarindima

Dalili za kuzuka kwa vurugu zilianza kuonekana asubuhi baada ya polisi kuzingira uwanja huo na kuzuia watu waliokuwa wameanza kufurika katika eneo hilo kuanzia saa moja kuingia kwa ajili ya maombolezo.

Wakati Polisi wakiwa uwanjani, wananchi walijaa nje ya uwanja na kuonekana kama wamewazingira.

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe waliwasili uwanja hapo yapata saa nane mchana na kukuta zuio hilo na kuanza kuzungumza na wananchi ingawa FFU walikuwa wakiwataka watu kutawanyika. Mabomu yalianza kurindima wakati Arfi aliposimama na kuwahimiza wananchi kuelekea Hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya kuaga miili ya marehemu.

“Tuna muda mfupi sana wa kuzungumza hapa, tunaomba wote tuelekee Hospitali ya Mount Meru kuaga miili ya marehemu kwa sababu uwanja huu umezuiwa na polisi,” alisema Arfi kabla ya kukatishwa na milipuko ya mabomu.

Awali, Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa Chadema alitoa msimamo wa chama hicho kuwa Mwenyekiti wao, Mbowe na Lema hawatatoa ushahidi wa tukio la bomu wala kujisalimisha polisi kwa sababu hawana imani na jeshi hilo.

“Namtaka Chagonja atangulie mahakamani, tutakutana hukohuko. Mbowe na Lema hawatatoa ushahidi wala kujisalimisha polisi...
” alisema Lissu na kuongeza:

“Kisheria haiwezekani polisi ambao ndiyo watuhumiwa ndiyo wadai kukabidhiwa ushahidi ili wauharibu.”

Mapema Kamishna Chagonja aliwataka Mbowe na Lema kutoa ushahidi wa polisi kuhusika na tukio la kurusha bomu kwenye mkutano wa Chadema la sivyo polisi watatumia sheria kuwalazimisha kufanya hivyo.

Hekaheka

Baada ya polisi kuanza kutupa mabomu saa 8.45 mchana, wabunge, viongozi waandamizi wa Chadema na watu waliokuwa wamekusanyika walilazimika kutimua mbio.

Watu walioshuhudia tukio lile wanasema viongozi hao akiwamo Mbowe na mwenzake Lissu walikimbilia kwenye magari yao. Lema alilazimika kukimbilia kwa wachoma nyama ya nguruwe, (kitimoto) kwenye maeneo ya Kaloleni.

Kabla ya polisi kurusha bomu mahali alipokuwapo Lema, mbunge huyo alisikika akisema:

“Jaribuni kuvumilia, tunajaribu kuwasiliana Serikali ya Mkoa, ili watupe kibali cha kuleta miili ya wapendwa wetu hapa, kuweni wastaarabu kwa sababu mbele yetu kuna wana usalama ambao wanalinda amani, ingawa kufa ni kufa tu, wenzetu wameshakufa na sisi ipo siku tutakufa, lakini kila anayetangulia lazima tumzike kwa heshima zote.”

Kauli hiyo iliwachefua polisi ambao walishatangaza amri ya watu kutawanyika katika viwanja hivyo na kwamba hakutakuwa na suala la kuaga miili ya watu hao katika eneo hilo. Ghasia hizo zilisababisha kusimama kwa shughuli za biashara na kijamii kwa muda jijini Arusha huku watu waliokuwa katika nyumba zilizokuwa karibu na maeneo yalikorushwa mabomu wakilazimika kutoka nje kupata hewa safi baada ya nyumba hizo kujaa hewa ya mabomu.

Polisi waliokuwa wakirusha mabomu waliwakimbiza wananchi hadi maeneo ya Sakina huku wakiendelea kufyatua mabomu kila walipoona mkusanyiko wa watu.

Katika eneo la Kaloleni
, mkabala na Ofisi ya Mtendaji wa Kata hiyo baadhi ya wafuasi wa Chadema walichoma matairi barabarani na kusababisha ifungwe. Pia walichoma matairi katika eneo la Mianzini


Katika eneo la Tanki la Maji
, Barabara ya kwenda Moshi, baadhi ya wafuasi wa Chadema walipanga mawe barabarani na kusababisha msongamano wa magari.

Katikati ya jijini Arusha barabara zilikuwa hazipitiki kutokana na nyingine kufungwa na kusababisha usumbufu mkubwa.

Waandishi nao matatani

Katika vurugu hizo, baadhi ya waandishi wa habari walishambuliwa na polisi. Hao ni pamoja na Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la The Citizen, Zephania Ubwani ambaye kabla ya kuchomoka katika mikono ya askari, alikuwa akiwaonyesha kitambulisho chake cha kazi.

Hata hivyo, askari hao walimtishia kumtandika na kisha kumwambia aondoke katika eneo hilo kwa kuwa haijalishi yeye ni nani.

Mwingine ni mwandishi wa gazeti la Nipashe, Cnythia Mwilolezi ambaye alilazimika kuacha viatu na vitendea kazi vyake katika Uwanja wa Soweto na kukimbilia kwenye moja ya nyumba zilizopo jirani na eneo la tukio.

Katibu Msaidizi wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha, Moses Kilyinga alipigwa na polisi baada ya kuonekana akichukua maelezo.

Kilyinga ambaye alishambuliwa na askari hao alisema mara baada ya askari hao kumkamata, alijitambulisha lakini hawakumwelewa na wakaendelea kumchapa kabla ya kufanikiwa kuchomoka.

Polisi wavamia hospitali

Wakati baadhi ya majeruhi wakidai kushuhudia polisi wakiwapiga risasi watu waliokuwa wakimkimbiza mtu aliyerusha bomu katika tukio la Jumamosi, askari hao juzi walifika katika Hospitali ya Seliani saa mbili usiku wakitaka kumchukua mmoja wa majeruhi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo. Hata hivyo, hawakufanikiwa baada ya mgonjwa kutokomea kusikojulikana baada ya kupata taarifa za kutaka kuhusishwa na tukio hilo.

Ingawa si polisi wala Chadema waliokuwa tayari kumtaja mgonjwa huyo, inaelezwa kwamba majeruhi anayesakwa ni Abdallah Alila aliyekaririwa na vyombo vya habari jana na juzi akidai kumshuhudia aliyerusha boma akiondoka kwenye moja ya magari ya polisi.

Hata hivyo, Kamishna Chagonja jana alisema kwamba jeshi lake linapenda kushirikiana na raia kupata taarifa na si kutumia nguvu katika kukusanya ushahidi wake.


Mwananchi

MSIKILIZE SAIDA KAROLI AKIONGEA KUHUSU KUZUSHIWA KUWA AMEKUFA



BAADA YA KUZUSHIWA KIFO, HIKI NDICHO ALICHOSEMA MSANII SAIDA KAROLI

 
Baada ya taarifa kuzushwa kuwa Mwanamuziki wa asili, Saida Karoli amefariki katika ajali ya meli habari za uhakika ni kuwa Saida Karoli wala hayuko mahala popote jirani na Ziwa Victoria.
Baada ya kuweko Dar es Salaam wiki iliyopita, Saida na kundi lake walikodishwa na kuelekea Makongorosi Chunya mahala aliko mpaka asubuhi hii.


Saida Karoli anasema "sina mpango wowote wa kufa hivi karibuni".
MUNGU AMUONGEZEE SIKU NYINGI ZENYE FARAJA KATIKA MAISHA YAKE

HII NDIO ZAWADI KUTOKA KWA DIAMOND KWENDA KWA MASHABIKI WAKE:SOMA HAPA:

Siku ya jana nilikuwa na ratiba nyingi lakini hii ilikuwa moja ya
 ratiba muhimu sana kwa siku ya jana.....
Ratiba hii ilikuwa kwaajili ya kupiga picha zangu binafsi kwa
matumizi yangu kwenye Social Networks zangu na
Website kwa ujumla na pia bila kusahau baadhi ya picha ni zawadi
kabisa kwenu mashabiki zangu wa nguvu kwa
matumizi yenu kwenye social networks zenu binafsi......

Zifuatazo ni picha kadhaa nikijianda na Photoshoot hiyo kutoka
home hadi studio.....nimeamua kushare na nyinyi
muweze kujua kinachojiri ndani ya ulimwengu wangu.....
Home sweet home,nikijikoki kuweka silaha kabisa kwenda kufanya unyama wangu...!!
Safari ikaanzia hapa kuelekea Barbershop kuweka kichwa sawa kabisa u know as always,msafiiiii.....!!
QBoy msafii akichukua ukanda akiniweka kichwani sawa....
hahaha wasafii kuna kila kitu...!!
Hapa nilikuwa tayari nimewasili studio nikijiweka sawa usoni....!!
ON SET MAVAZI.....Qboy Upon this...!



White & Black,Gold kwa wingii...... KUONA PICHA NYINGINE ENDELEA HAPO CHINI:

ANGALIA VIDEO...VURUGU ZILIZO TOKEA JANA JIJINI ARUSHA MABOMU YALIVYOKUWA YAKITAWANYISHA WATU:

KIPIGO TOKA KWA MPENZI WAKO NI MAPENZI YA DHATI

Nilikuwa na mahusiano na jamaa mmoja dah huyu jamaa alikuwa ananipenda kweli kusema kweli ,ila tatizo lake ni kipigo
alishanipa mkongoto wa haja kama mara tatu hivi
alinipa kipigo jamani siku moja kidogo nife nikaona cha kujifia
yaani nilipigwa siku hiyo duh nikamwambia mother nimeanguka kwenye mti wa parachichi ilikuwa maafa
tatizo ilikuwa ni simu tu jamani kiukweli nilikuwa nachat chati na mwanaume mwingine ila alikuwa sio mpenzi wangu.jamaa alikuwa anamind simu yangu sijui vile aliinunua...nilichezea vichapo sio kidogo.
at last nikamkimbia
ila nimenotice mwanaume /mke anaekupiga ana upendo wa kweli hawezi kuishi bila wewe so anatumia any defenceve mechanism kukukeep!
  fight for your love !...Au unasemaje Mdau?

ZITTO KABWE ASHINDWA KUVUMILIA NA KUANDIKA HAYA KUHUSU MAUJI YA ARUSHA


"Inaumiza sana. Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu utaendelea? Halafu watu wanafanya siasa. Raia wamekufa. Tuvumilie kweli?"

Tuesday, 18 June 2013

VIDEO:A.Y AKIFANYIWA INTERVIEW NA BBC WORLD